YALIYOMO
1.0 UTANGULIZI
Ufugaji wa kuku ni moja
kati ya njia madhubuti katika kupunguza umasikini kwa jamii zetu za kitanzania.
Kaya nyingi zimekuwa zikijihusisha na kilimo na ufugaji usio na tija kiasi
kwamba malengo na mpango mkakati wa MKUKUTA,KILIMO KWANZA pamoja na MATOKEO
MAKUBWA SASA hayajafikiwa ikilinganiswa na makusudio na makisio ya ukuaji wa
uchumi, mwananchi wa hali ya chini.
|
Jina
la nchi (Tanzania) Mwaka
|
2011
|
2012
|
2013
|
2014
|
|
Kipato/Siku
|
740.4
|
827.5
|
910.4
|
955.1
|
(http://data.worldbank.org/indicator/NY.GDP.PCAP.CD)
Kwa mtiririko wa vipato
hivyo kwa siku tangu mwaka 2011 hadi 2016, mwananchi wa kawaida anauwiwa vigumu
sana katika kutimiza mahitaji yake ya msingi ya siku, kutokuwa na uwezo wa
kusomesha watoto na kutokupata huduma bora za kiafya. Kwa mtazamo huu, jamii
zetu kushirikiana na taasisi za kiserikali na zisizo za kiserikali ni lazima
kuangazia katika utoaji wa elimu ya ujasiliamali mdogo mdogo kwa jamii na
kuwapa msaada wa kitaalamu ili kutimiza adhma ya kupunguza umasikini nchini.
Kuku wa asili ambao
wamekuwa wakifugwa kwa mazoea katika maeneo mengi ya Tanzania ni suluhu tosha
la umasikini ikiwa watafugwa kwa kuzingatia kanuni bora za ufugani pamoja na
uwezeshaji wa ushauri wa kitaalamu. Pia kwa ufugaji bora wa kuku wetu wa asili,
vijana watajipatia ajira, kupunguza uzururaji na kujipatia kipato kwa ajili ya
kuendesha maisha yao wenyewe.
Pia serikali itakuwa na
uwezo wa kukusanya kodi kwa wingi kwa kupitia waajiriwa katika mashamba ya
kuku,usafirishaji wa mazao ya kuku, dawa na leseni za biashara.
Ufugaji wa kuku wa
asili unaweza kupunguza tatizo la upungufu wa vyakula vyenye viini lishe vya
protini nchini hususani vitokanavyo na wanyama au ndege. Ongezeko la watu
limekuwa kubwa hadi kufikia zaidi ya milioni 40. Ongezeko hilo halilingani na
kasi ya uzalishaji wa chakula kulingana na sense ya wanyama ya mwaka 2010.
Ulaji wa nyama kwa kila raia kwa mwaka umekuwa mdogo zaidi ukilinganisha na
maadhimio ya FAO. Hii inadhihirisha
kuwa uzalishaji wetu ni duni na matatizo yatokanayo na lishe duni
(Utapiamlo,Kilibatumbo) hayawezi kutoweka kirahishi katika nchi yetu.
Kwa kuyatambua hayo
katika sura ya utangulizi, andiko hili limeangazia kuboresha ufugaji wa kuku wa
asili na wenye tija katika taswira ya tasnia ya ufugaji bora na maendeleo ya
wananchi na mifugo.
Kulingana na kiasi cha
mtaji na malengo ya kikundi tajwa, idadi ya kuku wanaotarajiwa kufugwa ni 100
(1:10).Kwa matokeo mazuri na mafanikio katika ujasilimali huu wa ufugaji wa
kuku wa asili, yafuatayo ni mambo muhimu ya kuzingatia.
1.1 Sifa na mambo muhimu ya kuzingatia:
I.
Mitetea na Jogoo wazuri kutoka katika
koo zinazosifika kwa uzalishaji
II.
Mabanda bora yaliyojengwa kwa malighafi
zipatikanazo kiurahisi
III.
Usimamizi na huduma njuri kwa kuku
IV.
Chakura bora cha kuku na cha kutosha.
V.
Uzuiaji mzuri wa magonjwa ya kuku.
Ikiwa mahitaji ya hapo juu yatafuatwa
kikamilifu,mafanikio hayanabudi kukufuata katika ujasiliamali wako.
2.0 MAHITAJI MUHIMU KWA AJILI YA KUANZA UFUGAJI WA KUKU WA ASILI
2.1Jedwali kuonesha idadi ya kuku wa kuanza nao na gharama ya kununulia
|
NAMBA
|
HITAJI
|
GHARAMA/KUKU
|
JUMLA
YA FEDHA
|
|
1
|
MITETEA
90
|
10,000/=
|
900,000
/=
|
|
2
|
MAJOGOO
10
|
15,000/=
|
150,000/=
|
2.2 Banda la kuku
Ukubwa wa banda la
kufugia kuku inategemeana sana na idadi ya kuku uliotaraji kuanza nao, uwezo wa
kifedha na matarajio ya upanukaji wa mradi wako kwa baadaye. Kwa kuzingatia
vigezo tajwa, idadi ya kuku kwa eneo na nafasi ya kulia chakula kwa kila kuku,
linaweza kujulikana kimahesabu ili kujua banda lako liwe na ukubwa wa kiasi
gani.
2.2.1Makisio:
I.
Idadi ya kuku watagao =90
Wastani
wa mayai yatagwayo /mzunguko/ kuku =8
II.
Wastani wa asilimia ya utotoaji/mzunguko
=80
III.
Wastani wa vifaranga/kuku/mzunguko
(80%*8)=6.4
IV.
Jumla ya vifaranga/ kuku 90/mzunguko
(90*6.4) = 576
2.2.2 Idadi ya kuku kwa mita 1 ya eneo:
|
JINSIA NA HATUA ZA UKUAJI
|
(IDADI YA KUKU /M2)
|
JUMLA YA ENEO (M2)
|
|
KUKU
WANAOTAGA
|
KUKU
4 /M2
|
90/4
=22.5
|
|
MAJOGOO
|
JOGOO
3 /M2
|
10/3
=3.3
|
|
VIFARANGA
(SIKU 0-14)
|
VIFARANGA
15 /M2)
|
576/15
=38.4
|
Hivyo basi, jumla ya eneo linalohitajika kulingana
na idadi ya kuku iliyooneshwa hapo juu ni 64.2M2.
NB: kiasi cha eneo tajwa hapo juu ni kulingana na
idadi ya kuku tarajiwa katika mzunguko mmoja wa uzalishaji tu. Kwa kuzingatia
makisio ya uzalishaji kwa mwaka, ni lazima kuongeza eneo mara tano zaidi ya
eneo la mwazo. Na kwa kila mzunguko mmoja wa uzalishaji eneo halisi litakuwa
zaidi ya 64.2M2 kwasababu utahitaji eneo kulishia, kunyweshea na
kutuzia chakula cha kuku. Hivyo basi, eneo la kuanzia kufugia ni 120M2.
3.0 UTENGENEZAJI WA CHAKULA, MIKAKATI YA ULISHAJI NA GHARAMA ZA CHAKULA.
3.1 Chakula cha kuku wanaotaga (Wiki ya 22 hadi 72).
|
INGREDIENT
|
INCLUSION LEVEL IN KGS
|
AVAILABLE CP
|
CALCULATEDCP
|
COST/KG FEED
|
COST/ KG
|
|
MAIZE BRAN
|
46
|
8.9
|
4.094
|
450
|
20,700.00
|
|
MAIZE MEAL
|
10
|
10
|
1
|
700
|
7,000.00
|
|
SUNF SEED CAKE
|
10
|
44
|
4.4
|
1000
|
10,000.00
|
|
RICE POLISHING
|
18
|
8
|
1.44
|
200
|
3,600.00
|
|
FISH MEAL
|
11
|
65
|
7.15
|
300
|
3,300.00
|
|
DCP
|
1
|
0
|
0
|
1250
|
1,250.00
|
|
BONE MEAL
|
1
|
0
|
0
|
400
|
400.00
|
|
SALT
|
1
|
0
|
0
|
500
|
500.00
|
|
LIMESTONE
|
2
|
0
|
0
|
500
|
1,000.00
|
|
TOTAL (KGS)
|
100
|
18.084
|
47,750.00
|
3.2 Chakula cha Vifaranga (Siku ya 1 - 28)
|
INGREDIENT
|
INCLUSION LEVEL IN KGS
|
AVAILABLE CP
|
CALCULATED CP
|
COST/KG FEED
|
COST/ KG
|
|
MAIZE BRAN
|
39.5
|
8.9
|
3.5155
|
450
|
17,775.00
|
|
MAIZE MEAL
|
11.5
|
10
|
1.15
|
700
|
8,050.00
|
|
SUNF SEED CAKE
|
12.5
|
44
|
5.5
|
1000
|
12,500.00
|
|
RICE POLISHING
|
15
|
8
|
1.2
|
200
|
3,000.00
|
|
FISH MEAL
|
16.5
|
65
|
10.725
|
300
|
4,950.00
|
|
DCP
|
1
|
0
|
0
|
1250
|
1,250.00
|
|
BONE MEAL
|
1
|
0
|
0
|
400
|
400.00
|
|
SALT
|
1
|
0
|
0
|
500
|
500.00
|
|
LIMESTONE
|
2
|
0
|
0
|
500
|
1,000.00
|
|
TOTAL (KGS)
|
100
|
22.0905
|
49,425.00
|
3.3 Chakula cha kuku wanaokuwa ( Wiki ya 5 - 16 )
|
INGREDIENT
|
INCLUSION LEVEL IN KGS
|
AVAILABLE CP
|
CALCULATED CP
|
COST/KG FEED
|
COST/ KG
|
|
MAIZE BRAN
|
43
|
8.9
|
3.827
|
450
|
19,350.00
|
|
MAIZE MEAL
|
12
|
10
|
1.2
|
700
|
8,400.00
|
|
SUNF SEED CAKE
|
11
|
44
|
4.84
|
1000
|
11,000.00
|
|
RICE POLISHING
|
17
|
8
|
1.36
|
200
|
3,400.00
|
|
FISH MEAL
|
12
|
65
|
7.8
|
300
|
3,600.00
|
|
DCP
|
1
|
0
|
0
|
1250
|
1,250.00
|
|
BONE MEAL
|
1
|
0
|
0
|
400
|
400.00
|
|
SALT
|
1
|
0
|
0
|
500
|
500.00
|
|
LIMESTONE
|
2
|
0
|
0
|
500
|
1,000.00
|
|
TOTAL (KGS)
|
100
|
19.027
|
48,900.00
|
3.4 Ulishaji wa kuku.
Tofauti na wanyama wengine, kuku wanahitaji kupewa
chakula bora chenye mchanganyiko mzuri wa viinilishe kwasababu ya aina ya
ukuaji wao ambao hutegemea sana chakula bora katika hatua ya ukifaranga,
ukuaji, hatua ya mwisho ya ukuaji na kipindi cha utagaji. Chakula bora cha kuku
husaidia ukuaji mzuri wa mifupa na misuli. Ulishaji mzuri wa kuku utamsaidia
kuku katika maendeleo mazuri ya kinga za mwili, utagaji mzuri na ongezeko la
utagaji wa mayai bora.
Kuku hulishwa mara moja kwa siku na kiasi cha
chakula kwa kuku lazima kifuate umri wa kuku na mahitaji katika ukuaji, na
uzalishaji.
3.5 Maji ya kunywa ya kuku.
Kama viinilishe vingine, maji ni hitaji la kwanza
muhimu la kuku. Maji yana umuhimu mkubwa wa kibaiologia, kikemia, kimakenika na
kazi zingine katika mwili wa kila kiumbe hai, katika hatua zote za uhai wake
duniani. Hivyo basi, ni muhimu sana kwa kuku kupewa maji safi na yakutosha.
Maji lazima yawepo muda wote.
Water should be treated with chlorine before being
admitted to chicken. It is important for the health status of the chicken
because of E.coli found in the untreated water.
3.6 Nafasi ya kulishia kwa (Tetea, kuku wanaotaga, Jogoo na Vifaranga)
Kabla ya kufanya maamuzi ya kununua vifaa vya
kulishia kuku, ni muhimu kujua nafasi inayotumika kwa kuku mmoja kula. Ni
muhimu pia kujua kuwa nafasi ya kulishia hutofautiana kati ya kifaranga, jogoo
na tetea.
3.6.1 Jedwali kuonyesha nafasi ya kulishia kuku katika hatua tofauti za ukuaji.
|
HATUA
KATIKA UKUAJI
|
NAFASI
YA KULISHIA KATIKA CM
|
|
Kifaranga
|
6
|
|
Tetea
|
9
|
|
Kuku
wa kutaga
|
12
|
|
Jogoo
|
15
|
3.6.2 Gharama elekezi za vifaa vya kulishia na kunyweshea kuku.
|
KIFAA
|
UMBO
|
IDADI
YA KUKU/KIFAA
|
GHARAMA
/ KIFAA
|
GHARAMA/
IDADI YA VIFAA TARAJIWA
|
|
Kifaa
cha kulishia vifaranga
|
Dishi
|
50
|
10,000/=
|
576
chicks/50= 11*10,000=110,000/=
|
|
Kifaa cha kunyweshea vifaranga
|
Mviringo
chenye mshikio
|
30
|
4,500/=
|
19*4500
=85,500/=
|
|
Kifaa kulishia kuku
|
Mviringo chenye mshikio
|
10
|
5,500/=
|
10*5,500=
55,000/=
|
|
Poultry drinker
|
|
|
|
|
NB: Katika ufugaji wa kuku, chakula na ulishaji wa
kuku huchukua 70% ya gharama zote za uzalishaji. Ni muhimu sana kufahamu hili
kwasababu wafugaji wengi huwa na mafanikio duni katika ufugaji wa kuku
kwasababu ya kutokutilia maanani kuhusu chakula cha kuku katika plani ya ufugaji
na uwekezaji wao. Mfugaji yeyote atakaye thubutu kumudu gharama za chakula na chanjo
hakika watafanikiwa katika uwekezaji wao.
Mfugaji lazima afahamu pia kwamba, matumizi mazuri
ya chakula, maji na chanjo, hupunguza gharama za uzalishaji ambazo zitasaidia
kuzalisha katika gharama ndogo na kupata faida nzuri.
4.0 USALAMA WA VIUMBE HAI NA UDHIBITI MATHUBUTI WA MAGONJWA.
Usalama wa viumbe hai ni mambo yote yafanyikayo
katika shamba la kuku ili kuzuia wasishambuliwe na magonjwa au wadudu
wasababishao magonjwa au vifo vya kuku shambani. Tunaweza kuzuia magonjwa au
maambukizi kwa kufanya vitu vifuatavyo:
I.
Ni muhimu chanjo zifanywe kwa muda na
umri muafaka.
II.
Tumia dawa za kuangamiza wadudu katika
kuoshea vifaa au nyumba ya kuku kabla ya kuwaweka kwenye nyumba hiyo.
III.
Watenge kuku walionunuliwa na kuwapa
chanjo kabla hawajachanganywa na wenzao.
IV.
Zuia watu wasiohusika na wanyama wengine
wasiingie katika nyumba ya kuku.
V.
Kuku wagonjwa wanapasa kutengwa mara
moja na kutibiwa wakiwa peke yao.
VI.
Kuku waliokufa ni lazima wafukiwe katika
shimo la mizoga.
VII.
Kuku wa umri tofauti ni muhimu wakae
tofauti.
4.1 Mpangilio wa chanjo kwa kuku wazazi.
Katika ufugaji wa kuku, kinga ya magonjwa ni muhimu
sana kuliko kutibu. Mkakati mzuri wa utunzaji wa kuku unahusisha sana chanjo na
chakula. Ikiwa chanjo zitafanyika kiufasaha, afya za kuku zitaimarika kwa
95% na 5% tu ndio itakayokuwa ni gharama
ya matibabu.
4.1.1 Jedwali kuonesha mpangilio wa chanjo na gharama kwa kila chanjo.
|
No.
|
UMRI
|
CHANJO
|
SEHEMU
|
GHARAMA
|
|
1
|
Siku
1
|
mareks
|
Katikati
ya ngozi na nyama
|
|
|
2
|
Siku
3
|
Newcastle
|
Tone
kwenye jicho/ maji ya kunywa
|
6000/=/vial/vifaranga
100
|
|
3
|
Siku 7
|
paracox
|
Maji
ya kunywa
|
|
|
4
|
Siku
12
|
IB-91
|
kunyunyiza
|
|
|
5
|
Siku
14
|
IBD-78
|
Maji
ya kunywa
|
|
|
6
|
Siku
21
|
Newcastle
|
Eye
drop/ drinking water
|
6000/=/vial/vifaranga 100
|
|
7
|
Siku
26
|
IBD-78
|
Maji
ya kunywa
|
|
|
8
|
Siku
56
|
Salenvact
|
Katikati
ya misuli ya kifua
|
|
|
9
|
Siku
70
|
AE
+Fowl pox
|
Kwenye
bawa
|
|
|
10
|
Siku
98
|
Salenvact
|
Katikati
ya misuli ya kifua
|
|
|
11
|
Siku
120
|
IBH-120
|
Nyunyiza
|
|
|
12
|
Siku
126
|
MG
(Microplasma gullisepticum)
|
Katikati
ya ngozi na nyama
|
|
NB: Kila chanjo iliyo ainishwa hapo juu ni muhimu
kwa afya za kuku. Hivyo basi, USIENDE
‘‘KINYUME NA MPANGILIO HUO
5.0 MAKISIO YA UZALISHAJI KWA MWAKA ANNUAL PRODUCTION ESTIMATE
|
MOTHS
|
No. F PS
|
No. EGGS/ HEN
|
TOTAL EGGS
|
% HATCH
|
No.CHICKS
|
No.CHICKS/HEN/CYCLE
|
MORTALITY %
|
LIVE CHICKEN
|
|
1
|
90
|
6
|
540
|
0.75
|
405
|
4.5
|
0.14
|
348.3
|
|
2
|
90
|
7
|
630
|
0.75
|
472.5
|
5.25
|
0.14
|
406.35
|
|
3
|
90
|
8
|
720
|
0.8
|
576
|
6.4
|
0.14
|
495.36
|
|
4
|
90
|
8
|
720
|
0.82
|
590.4
|
6.56
|
0.14
|
507.74
|
|
5
|
90
|
8
|
720
|
0.82
|
590.4
|
6.56
|
0.14
|
507.74
|
|
6
|
90
|
8
|
720
|
0.82
|
590.4
|
6.56
|
0.14
|
507.74
|
|
7
|
90
|
8
|
720
|
0.82
|
590.4
|
6.56
|
0.14
|
507.74
|
|
8
|
90
|
8
|
720
|
0.82
|
590.4
|
6.56
|
0.14
|
507.74
|
|
SUBTOTAL
|
5490
|
0.8
|
4392
|
6.11875
|
||||
|
|
|
|
|
|
||||
|
9
|
180
|
8
|
1440
|
0.82
|
1180.8
|
13.12
|
0.14
|
1015.4
|
|
10
|
180
|
8
|
1440
|
0.82
|
1180.8
|
13.12
|
0.14
|
1015.4
|
|
11
|
180
|
8
|
1440
|
0.82
|
1180.8
|
13.12
|
0.14
|
1015.4
|
|
12
|
180
|
8
|
1440
|
0.82
|
1180.8
|
13.12
|
0.14
|
1015.4
|
|
MAIN TOTAL
|
5760
|
0.82
|
4723.2
|
52.48
|
0.14
|
4061.9
|
||
Imeandaliwa na District Zoo Sanitary Inspector.
Mandela meckson Mwasikili
Musoma DC.
1 comment:
You are welcome for comments
Post a Comment